Content deleted Content added
Mstari 448:
Salaam, natumaini ulikuwa na Pasaka njema! Siku hizi naangalia Urusi kwa sababu ya mgeni wetu.. Nahitaji neno kwa "steppe". Una ushauri? Mbuga wa manyasi? Pori ya manyasi? Pori manyasi? Porinyasi ? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 22:55, 7 Aprili 2016 (UTC)
:Salaam. Pasaka yetu haikuwa njema kama tulivyopenda kwa sababu mke wangu hajaweza kutembea bado. "Steppe" ni eneo la manyasi bila miti au lenye miti michache na kwa Kiswahili eneo kama hili linaitwa mbuga. Kama eneo likiwa na miti mingi zaidi linaitwa savana. Pori ni istilahi ya jumla au eneo lenye miti na vichaka. Kwa hivyo nadhani kwamba tafsiri nzuri ya "steppe" ni mbuga. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo#top|majadiliano]])''' 20:14, 8 Aprili 2016 (UTC)
== Famouse Ukrainian People or maarufu Kiukreni ==
:Hello [[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]]! Sorry for writing in English. I don`t understand Swahili. I ask you to contribute with translation into the Swahili language. Could you or other users of your wikipedia translate some articles, that dedicated for prominent figures in Ukraine. The list shown on the page [[Wikipedia:Makala zilizoombwa]]. It is equipped interlanguage links and given pronunciation on Latin alphabet.--'''[[Mtumiaji:Yasnodark|Yasnodark]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Yasnodark|majadiliano]])''' 11:36, 10 Aprili 2016 (UTC)