22 Agosti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Agosti}}
== Matukio ==
*[[1864]] - Nchi 12 zinakubali [[Mapatano ya Geneva]] zikihamasishwa na [[Henri Dunant]], mwanzilishaji wa [[Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu]].
 
== Waliozaliwa ==
*[[1760]] - [[Papa Leo XII]]
*[[1924]] - [[James Kirkwood]], ([[mwandishi]] [[Marekani|Mmarekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1976]])
*[[1966]] - [[Paul Ereng]], [[mwanariadha]] wa [[Olimpiki]] kutoka [[Kenya]]
* [[1966]] - [[GZA]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
*[[1975]] - [[Rodrigo Santoro]], [[mwigizaji]] [[filamu]] kutoka [[Brazil]]
* [[1985]] - [[Jimmy Needham]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1991]] - Federiko [[Macheda]], [[mchezaji mpira]] kutoka [[Italia]]
 
== Waliofariki ==
*[[1241]] - [[Papa Gregori IX]]
*[[1280]] - [[Papa Nikolasi III]]
* [[1679]] - [[Mtakatifu]] [[Yohane Wall]], [[O.F.M.]], [[padri]] [[mfiadini]] nchini [[Uingereza]]
*[[1958]] - [[Roger Martin du Gard]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1937]])
*[[1978]] - [[Jomo Kenyatta]], [[Rais]] wa kwanza wa [[Kenya]] ([[1964]]-[[1978]])
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/august/22 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Aug&day=22 On This Day in Canada]
 
[[Jamii:Agosti]]