Ubungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
'''Ubungo''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya]] ya [[Kinondoni]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]].
 
Ubungo ipo katika sehemu ya kati ya [[magharibi]] mwa wilaya na inafahamika sana Tanzania kama [[kitovu]] kikuu cha ma[[basiMabasi]] yaelekeayo mikoani.
 
Kituo cha mabasi cha Ubungo kimeungana na baadhi ya vituo vikubwa vya miji mbalimbali ya Tanzania kama vile cha [[Arusha]], [[Moshi]], [[Morogoro]], [[Dodoma]], [[Mbeya]], [[Iringa]], [[Mtwara]], [[Lindi]], [[Singida]], [[Tanga]] na [[Mwanza]]; vilevile hadi [[Nairobi]], [[Lilongwe]], [[Lusaka]] na miji mingine kadhaa ya [[Afrika ya Mashariki]].