Kifaru : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Masahihisho |
||
Mstari 19:
:''[[Rhinoceros]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
'''Vifaru''' au '''faru''' ni wanyamapori wakubwa wa familia [[Rhinocerotidae]]. [[Spishi]]
Faru hufahamika sana kwa umbo lake kubwa (ni miongoni mwa [[mnyama|wanyama]] wakubwa sana
▲'''Vifaru''' au '''faru''' ni wanyamapori wakubwa wa familia [[Rhinocerotidae]]. Spishi wawili kati ya hawa wanapatikana Afrika na wengine watatu huko Asia. Huko India wamebaki faru 2700 tu na hata faru weupe nao wameadimika sana duniani.
▲Faru hufahamika sana kwa umbo lake kubwa (ni miongoni mwa wanyama wakubwa sana wala nyasi waliobakia); huku kila spishi ya faru ikikaribia kuwa na uzito wa tani moja na ngozi ngumu ya kujilinda, yenye unene wa sentimeta 1.5 – 5.0; ubongo mdogo wa mamalia (gramu 400 – 600) na pembe kubwa. Wao hula sana majani. Faru wa Afrika hukosa meno ya mbele na kutegemea zaidi magego katika kusaga chakula.
Faru huthaminiwa sana kutokana na pembe zao. Pembe hizo zimetengenezwa kwa keratini, protini, sawa na ile inayopatikana kwenye nywele na kucha.<ref>{{cite web|url=http://www.sciencedaily.com/releases/2006/11/061106144951.htm |title=Scientists Crack Rhino Horn Riddle? |publisher=Ohio University |date=11 November 2006 |accessdate=15 October 2014}}</ref>
Faru wa Afrika na [[Sumatra]] wana pembe mbili huku wale wa
== Uainishaji na utoaji wa majina ==▼
Kuna spishi tano zinazoweza kuwekwa kwenye makundi matatu. Spishi mbili za Afrika, [[faru mweupe
== Faru mweupe ==
|