23 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Septemba}}
'''23 Septemba''' kwa kawaida ama ni [[sikusare otomnia]] ya [[kaskazini]] au siku ya kwanza baada ya [[sikusare]] hiyo. Katika [[nusutufe]] ya kaskazini ya [[dunia]] [[mchana]] huanza kuwa mfupi na [[muda]] wa [[usiku]] kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya [[kusini]] mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na [[giza]] yala usiku kupungua. Mabadiliko hayahayo yanaonekana kote duniani kwenye [[umbali]] fulani kutoka [[ikweta]].
 
== Matukio ==
* [[1669]] - Kuundwa kwa [[Chuo Kikuu]] cha [[Zagreb]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1740]] - [[Go-Sakuramachi]], [[Mfalme Mkuu]] wa 117 wa [[Japani]] ([[1762]]-[[1771]])
* [[1771]] - [[Kokaku]], Mfalme Mkuu wa 119 wa [[Japani]] ([[1779]]-[[1817]])
* [[1901]] - [[Jaroslav Seifert]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1984]])
* [[1915]] - [[Clifford Shull]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1994]]
* [[1926]] - [[John Coltrane]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
* [[1949]] - [[Bruce Springsteen]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1960]] - [[Mwenye heri]] [[Michał Tomaszek]], [[O.F.M.Conv.]], [[padri]] [[mfiadini]] kutoka [[Poland]] aliyeuawa nchini [[Peru]]
* [[1972]] - [[Jermaine Dupri]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[1835]] - [[Vincenzo Bellini]], [[mtunzi]] wa [[opera]] kutoka [[Italia]]
* [[1929]] - [[Richard Zsigmondy]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1925]])
* [[1968]] - [[Mtakatifu]] [[Pio wa Pietrelcina]], mtawapadri wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] kutoka [[Italia]]
* [[1973]] - [[Pablo Neruda]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1971]])
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/mayseptember/23 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=MaySep&day=23 On this day in Canada]
 
{{DEFAULTSORT:MeiSeptemba 23}}
[[Jamii:Septemba]]