Gifted Hands, The Ben Carson Story : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
d spelling
Mstari 27:
==Kuelekea kutimiza ndoto==
===Kuchagua Chuo===
Wakati wa kuchagua chuo ulipofika Ben alikumbana na mtihani mwingine, akiwa na dola kumi ambayo ndio kiingilio halisi cha fomu ya kujiunga, Ben alitaka kuchagua kati ya chuo cha Yake na chuo kikuu cha Harvard. Baadae aliamua kuchagua na hatimaye kujiunga na chuo kikuu cha Yale ambapo huko alipata vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindwa kuelewa baadhi ya masomo hususani somo la Kemia na kupata muujiza wa kuota mtihani. Akiwa chuoni, Ben anakutana na msichina aniyeitwa Candy, ambaye baadae ndiye anakuja kuwa mke wake.Baadae Ben anakuwa daktari na kuanza kazi katika Hospitali ya JohnJohns Hopkins.
 
===Akiwa Kazini===
Akiwa kazini katika hospitali ya JohnJohns hopikins, Dr Ben anafanya upasuaji wa hali ya juu, huku siku za mwanzo akikabiliwa na hali ya ubaguzi kutokana na yeyey kuwa mwenye asili ya Afrika.
Lakini Dr Ben anafanikiwa kufanya upasuaji ambao kwa hakika ulionekana maajabu, hususani alipoongoza timu ya madaktari waliotenganisha mapacha wawili waliokuwa wameungana katika eneo la kichwani na watoto wote kuweza kuishi baada ya Upasuaji huo.