Mkoa wa Lindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Lindi location map.svg|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Lindi katika Tanzania]]
'''Lindi''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] ulioko Kusini-Mashariki mwa [[Tanzania]].
 
'''Mkoa wa Lindi''' umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]]. Mkoa huu umeanzishwa mwaka 1971 una eneo la 67,000 [[km²]]. Karibu robo ya eneo lake au 18,000 km² ni sehemu ya [[hifadhi ya wanyama]] ya [[Selous]].
== Eneo la Mkoa wa Lindi ==
'''Mkoa wa Lindi''' umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]]. Mkoa huu umeanzishwa mwaka 1971 una eneo la 67,000 [[km²]]. Karibu robo ya eneo lake au 18,000 km² ni sehemu ya [[hifadhi ya wanyama]] ya [[Selous]].
== Eneo la Mkoa wa Lindi mkoa==
Mkoa huu umeanzishwa mwaka [[1971]] na una eneo la [[km²]] 67,000. Karibu [[robo]] ya eneo lake au km² 18,000 ni sehemu ya [[hifadhi ya wanyama]] ya [[Selous]].
 
Mkoa una wilaya sita za: [[Lindi Mjini]] na [[Lindi Vijijini]], [[Wilaya ya Kilwa|Kilwa]], [[Nachingwea]], [[Liwale]] na [[Ruangwa]].
 
[[Mito]] mikubwa ndiyo [[Lukuledi]], [[Matando]] na [[Mavuji]], yote yaelekea Bahari Hindi. Mwinuko huanza mwambaoni ukipanda hadi mita 500, hakuna milima mirefu sana.
 
Mwinuko huanza [[mwambao|mwambaoni]] ukipanda hadi [[mita]] 500, hakuna [[milima]] mirefu.
== Wakazi ==
Mwaka 2002 idadi ya wakazi ilikuwa 791,306. Karibu asilimia 90 kati hao ndio wakulima. Makabila makubwa zaidi ni hasa [[Wamwera]] ambao wanapatikana hasa wilaya ya nachingwea na lindi vijijini katika kata za Rondo halafu [[Wamachinga]] ,Wamalaba ambao wako zaidi lindi mjini [[Wamatumbi]] na [[Wangindo]] huko Kilwa.
 
== Wakazi ==
Idadi ya wakazi wa wilaya ni (idadi katika mabano): Kilwa (171,850), Lindi Mjini (41,549), Lindi Vijijini (215,764), Liwale (75,546), Nachingwea (162,081), Ruangwa (124,516),
Mwaka 2002 idadi ya wakazi ilikuwa 791,306. Karibu [[asilimia]] 90 kati hao ni [[wakulima]].
 
Mwaka 2002 idadi ya wakazi ilikuwa 791,306. Karibu asilimia 90 kati hao ndio wakulima. [[Kabila|Makabila]] makubwa zaidi ni hasa [[Wamwera]], ambao wanapatikana hasa wilaya ya nachingweaNachingwea na lindiLindi vijijini katika [[kata]] za Rondo, halafu [[Wamachinga]] , [[Wamalaba]] ambao wako zaidi lindiLindi mjini, [[Wamatumbi]] na [[Wangindo]] huko [[Kilwa]].
== Hali ya hewa ==
Hali ya hewa ya Lindi ni ya joto mwaka wote ikiwa na wastani kati ya sentigredi 24,5 na 27. Mkoa hupokea kati ya 980 mm na 1200 mm za mvua kwa mwaka, hasa kati ya miezi ya Novemba na Mei.
 
Idadi ya wakazi wakwa wilaya ni (idadi katika mabano): Kilwa (171,850), Lindi Mjini (41,549), Lindi Vijijini (215,764), Liwale (75,546), Nachingwea (162,081), Ruangwa (124,516),
== '''Miundombinu ya Mawasiliano''' ==
Kuna barabara chache katika hali nzuri. Ndizo 155 km za barabara ya lami na 3567 km barabara za udongo, mara nyingi katika hali mbaya. Wakati wa mvua mara kwa mara njia ya kwenda [[Daressalaam]] imefungwa. Kuna matumaini ya kuboreka kwa mawasiliano na mji mkuu wa Daresalaam tangu kumalizika kwa daraja la Rufiji. kwa sasa barabara ya kutoka mingoyo mpaka dar-es salaam imekamilika kwa kiwango cha lami ni kimebaki kipande cha kilometa 60 tu kuanzia Muhoro wilaya ya kilwa mpaka kukaribia daraja la Mkapa mto Rufiji ambacho kinamaliziwa kwa kiwango cha lami
 
== Hali ya hewa ==
Pana kiwanja cha ndege Lindi, Nachingwea na [[Kilwa Masoko]]. Lindi na Kilwa Masoko kuna pia bandari. Huduma za simu zipata maendeleo kiasi tangu kuanzishwa kwa simu za mkononi.
[[Hali ya hewa]] ya Lindi ni ya [[joto]] mwaka wote ikiwa na [[wastani]] kati ya [[sentigredi]] 24,5 na 27. Mkoa hupokea kati ya 980 mm na 1200 mm za mvua kwa mwaka, hasa kati ya miezi ya Novemba na Mei.
 
Mkoa hupokea kati ya [[mm]] 980 na 1200 za [[mvua]] kwa mwaka, hasa kati ya miezi ya Novemba na Mei.
Utalii haujafikia umuhimu sana kutokana na matatizo ya mawasiliano magumu ingawa Lindi ina sehemu mbalimbali zenye uwezo wa kuwavuta watalii: [[Kilwa Kisiwani]] ndicho mji wa kihistoria wa pwani la Afrika ya Mashariki pamoja na magofu ya miji mingine ya [[Waswahili]], Selous ni hifadhi kubwa kabisa katika Afrika, ufukoni wa mchanga ni wa kuvutia sana, nafasi za zamia majini ni tele.
 
== '''Miundombinu ya Mawasiliano''' mawasiliano==
Gesi imepatikana baharini karibu na kisiwa cha [[Songosongo]] imeleta matumaini ya maendeleo.
Kuna [[barabara]] chache katika hali nzuri. Ndizo km 155 za [[barabara ya lami]] na km 3567 za [[barabara ya mavumbi]], mara nyingi katika hali mbaya. Wakati wa mvua mara kwa mara njia ya kwenda [[Daressalaam]] imefungwa.
 
Kuna matumaini ya kuboreka kwa [[mawasiliano]] na [[jiji]] la Daresalaam tangu kumalizika kwa [[daraja la Rufiji]].
=='''Kilimo na Biashara'''==
Mkoa wa lindi wakazi wake wengi ni wakulima hasa maeneo ya vijijini wengi wanalima mazao mchanganyiko yaani ya biashara na chakula mazao ya biashara hasa ni Korosho ambazo zinapatika kwa wingi katika wilaya ya Ruangwa,Lindi Vijijini,na Nachingwea ,pia kuna zao la Ufuta na ndizi kama zao la biashara na chakula pia
Mazao ya chakula kuna mahindi,mpunga,muhogo,nyanya,vitunguu hizi pia ulimwa sana wakati wa masika kutegemea na mvua za vuli.
Biashara wakazi wengi wa mkoa walindi wanafanya biashara hasa biashara ndogondogo zijulikanaza kama machinga trade wanauza mazao wakati wa mavuno na uchukua bidhaa nyingi kutoka Dar-es-salaam na kupeleka vijijini hasa kwenye kata.
 
Kwa sasa barabara ya kutoka Mingoyo mpaka Dar es Salaam imekamilika kwa kiwango cha [[lami]], kimebaki kipande cha kilometa 60 tu kuanzia Muhoro, wilaya ya Kilwa, mpaka kukaribia [[daraja la Mkapa]] juu ya [[mto Rufiji]] ambacho kinamaliziwa kwa kiwango cha lami.
=='''Elimu'''==
 
mkoa wa lindi huko nyuma kielimu kwani idadi ya shule za sekondari mpaka sasa si nyingi sana na shule hizo azina walimu wa kutosha kutokana na miundombinu ya barabara na shule zenge kidato cha tano na sita mpaka sasa ni lindi sekondari-lindi,mahiwa na namupa seminari-lindi vijijini, pia kuna chuo cha uwalimu nachingwea katika wilaya ya nachingwea
PanaKuna [[kiwanja cha ndege]] Lindi, Nachingwea na [[Kilwa Masoko]]. Lindi na Kilwa Masoko kuna pia [[bandari]]. Huduma za [[simu]] zipatazimepata [[maendeleo]] kiasi tangu kuanzishwa kwa [[simu za mkononi]].
 
[[Utalii]] haujafikia umuhimu sana kutokana na matatizo ya mawasiliano magumu, ingawa Lindi ina sehemu mbalimbali zenye uwezo wa kuwavuta watalii: [[Kilwa Kisiwani]] ndichondio mji wa kihistoria wa [[pwani]] laya [[Afrika ya Mashariki]] pamoja na [[magofu]] ya miji mingine ya [[Waswahili]], Selous ni hifadhi kubwa kabisa katika [[Afrika]], ufukoni[[ufuko]] wa [[mchanga]] ni wa kuvutia sana, nafasi za zamia majini ni tele.
 
[[Gesi]] imepatikanailiyopatikana [[Bahari|baharini]] karibu na [[kisiwa]] cha [[Songosongo]] imeleta matumaini ya maendeleo.
 
=='''Kilimo na Biashara'''biashara==
Mkoa wa lindiLindi wakazi wake wengi ni wakulima, hasa maeneo ya vijijini wengi wanalima [[mazao]] mchanganyiko, yaani ya [[biashara]] na [[chakula]]. mazaoMazao ya biashara hasa ni Korosho[[korosho]], ambazo zinapatikazinapatikana kwa wingi katika wilaya ya Ruangwa, Lindi Vijijini, na Nachingwea , pia kuna [[zao]] la Ufuta[[ufuta]] na [[ndizi]] kama zao la biashara na chakula pia.
 
Mazao ya chakula kuna [[mahindi]], [[mpunga]], [[muhogo]], [[nyanya]], [[vitunguu]]: hizi pia ulimwahulimwa sana wakati wa [[masika]] kutegemea na mvua za [[vuli]].
 
Biashara wakazi wengi wa mkoa walindiwa Lindi wanafanya biashara, hasa biashara ndogondogo zijulikanazazijulikanazo kama "machinga trade": wanauza mazao wakati wa [[mavuno]] na uchukuahuchukua [[bidhaa]] nyingi kutoka Dar- es- salaam na kupeleka vijijini hasa kwenye kata.
 
=='''Elimu'''==
mkoaMkoa wa lindi huko nyuma [[Elimu|kielimu]] kwani idadi ya [[shule za sekondari]] mpaka sasa si nyingi sana na shule hizo azinahazina [[walimu]] wa kutosha kutokana na [[miundombinu]] ya barabara na shule zengezenye kidato cha tano na cha sita mpaka sasa ni lindiLindi sekondari -lindi Lindi,mahiwa Mahiwa na namupaNamupa [[seminari]] -lindi Lindi vijijini,. piaPia kuna [[chuo cha uwalimuualimu]] nachingweaNachingwea katika wilaya ya nachingweaNachingwea.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa [[uchaguzi mkuu]] wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Kilwa Kusini : mbunge ni [[Selemani Ally Bungara]] ([[CUF]])
* Kilwa Kaskazini : mbunge ni [[Ngombare Edgar]] ([[CUF]])
Line 44 ⟶ 58:
* Nachingwea : mbunge ni [[Hassan Elias Masala]] ([[CCM]])
* Ruangwa : mbunge ni [[Kassim Majaliwa]] ([[CCM]])
 
 
 
{{Mikoa ya Tanzania}}