Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Ulayamap|float=right}}
[[Picha:LocationEuropeEurope satellite orthographic.pngjpg|thumb|300px|Ulaya kutoka angani]]
[[Picha:Europe satellite orthographicLocationEurope.jpgpng|thumb|300px|Ulaya duniani]]
[[Picha:Rectified Languages of Europe map.png|thumb|300px|right|Lugha za Ulaya]]
[[Picha:Grossgliederung Europas.png|thumb|300px|Kanda za Ulaya]]
[[Picha:First.Crusade.Map.jpg|thumb|300px|Ulaya mwaka 1000 hivi]]
'''Ulaya''' (asili ya jina ni neno la [[Kiarabu]] "ولاية", wilaayatun) ni [[bara]] lenye eneo la [[km²]] 10,600,000 tu, lakini wakazi ni [[milioni]] 700. Wengi wenye asili ya Ulaya wakati wa [[ukoloni]] walitawanyika [[duniani]], hasa [[Amerika]], wakiathiri kote upande wa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[dini]].
 
Wengi wenye asili ya Ulaya wakati wa [[ukoloni]] walitawanyika [[duniani]], hasa [[Amerika]], wakiathiri kote upande wa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[dini]].
Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa [[Umoja wa Mataifa]] ''(UN categorisations/map)''.
 
== Utawala ==
Mstari 16:
 
== Kanda za Ulaya ==
MpangilioKatika ufuataoorodha unafuatainayofuata ratibakanda yazinatajwa katika utaratibu wa [[Umoja wa Mataifa]] ''(UN categorisations/map)''. Lakini utaratibu huuhuo haukubaliki ndani ya Ulaya kwa nchi za [[Ulaya ya Kati]]. [[Ujerumani|Wajerumani]], [[Austria|Waaustria]], [[Uswisi|Waswisi]], [[Ucheki|Wacheki]], [[Slovakia|Waslovakia]] na [[Poland|Wapoland]] hukubaliana ya kwamba wenyewe si Ulaya ya Magharibi wala ya Mashariki lakiniila Ulaya ya Kati. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano suala la Hungaria au Latvia.
=== Ulaya ya Kati ===
Mpangilio ufuatao unafuata ratiba ya [[Umoja wa Mataifa]]. Lakini utaratibu huu haukubaliki ndani ya Ulaya kwa nchi za [[Ulaya ya Kati]]. [[Ujerumani|Wajerumani]], [[Austria|Waaustria]], [[Uswisi|Waswisi]], [[Ucheki|Wacheki]], [[Slovakia|Waslovakia]] na [[Poland|Wapoland]] hukubaliana ya kwamba wenyewe si Ulaya ya Magharibi wala ya Mashariki lakini Ulaya ya Kati. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano suala la Hungaria au Latvia.
 
== Orodha ya nchi na maeneo ==