Historia ya Austria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Historia ya Austria''' inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Austria. {{mbegu-historia}} Jamii:Austria Jamii:...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Historia ya Austria''' inahusu eneo la [[Ulaya]] ambalo wakazi wake leo wanaunda [[Jamhuri]] ya [[Austria]].
 
Kwa muda mrefu wa [[historia]] yake Austria ilihesabiwa kama sehemu ya [[Ujerumani]]. Kwa [[karne]] nyingi watawala wake walishika cheo cha [[Kaisari]] wa [[Dola takatifu la Roma]] lililojumlisha Ujerumani wote.
 
Austria ilitawala pia sehemu kubwa za [[Ulaya ya Mashariki]]. Watawala wa Austria walishika pia vyeo vya kifalme vya nchi za [[Bohemia]] na [[Hungaria]].
 
Wakati wa vita za [[Napoleoni]] [[Kaisari Franz II]] alilazimishwa kujiuzulu kama Kaisari wa Ujerumani wote mwaka [[1806]] akabaki na cheo cha Kaisari wa Austria tu. Baada ya Napoleoni Austria ilikuwa nchi muhimu katika [[shirikisho la Ujerumani]].
 
Mwaka [[1866]] Austria ilishindwa katika [[vita]] dhidi ya [[Prussia]] ikatoka katika [[siasa]] ya Ujerumani. Baada ya vita hiyo [[Kaisari Franz-Josef]] alipaswa kuwakubalia Wahungaria cheo sawa na Wajerumani ndani ya milki yake. Kuanzia hapo milki ilijulikana kama [[Austria-Hungaria]]
 
Hadi [[Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia]] Austria-Hungaria iliendelea kutawala nchi za Ulaya ya Mashariki pamoja na [[Ucheki]], [[Slovakia]], [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia-Herzegovina]], na sehemu kubwa ya [[Poland]] ya Kusini, pia sehemu zilizopo sasa katika kaskazini mwa Italia.
 
Mwisho wa vita dola hili lilisambaratishwa. Sehemu zake zote zikawa [[nchi huru]]. Nchi ndogo ambayo ilikaliwa na Waaustria Wajerumani ilibaki. Washindi wa vita walizuia Waaustria wasijiunge na Ujerumani, hivyo [[Jamhuri ya Austria]] ilianzishwa.
 
Mwaka [[1938]] [[dikteta]] wa Ujerumani [[Adolf Hitler]] (aliyekuwa Mwaustria mwenyewe) alivamia Austria kwa [[jeshi]] lake na kuiunganisha na Ujerumani. Wakati ule sehemu kubwa ya Waaustria walikubali.
 
Baada ya [[Vita Vikuu vya Pili vya Dunia]] Austria ilirudishwa kuwa nchi ya pekee ikabaki hivyo.
 
Mwaka [[1995]] Austria ikajiunga na [[Umoja wa Ulaya]].
 
{{mbegu-historia}}