Usafiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg|thumb|right|Ndege ya [[Boeing 747-300]]]]
 
'''Usafiri''' ni uhamisho wa [[watu]] au [[kitu|vitu]] na [[bidhaa]] kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.
 
Usafiri unakuja pamoja na [[muundombinu]] kama njia za usafiri, [[vyombo vya usafiri]] na wahusika wake kama makampuni, shirika na [[abiria]].
 
== Njia za Usafiriusafiri ==
Njia za usafiri hutofautishwa kufuatana na aina yake kama ni:
* usafiri wa nchininchi kavu kwa kutumia [[barabara]] au [[reli]]
* usafiri wa majini kwa kutumia [[bahari]], [[ziwa|maziwa]], [[mto|mito]] na [[mfereji|mifereji]]
* usafiri wa hewani kwa kutumia [[vyomboanga]] na [[viwanja vya ndege]]
*Usafili usafiri wa mabomba ambayo husafilisha(husafirisha [[maji]], [[gesi]] na Mafuta[[mafuta]].)
 
== Vyombo vya usafiri ==
Mstari 23:
Usafiri wa hewani hutumia [[ndege (uanahewa)|ndege]], [[helikopta]] au [[ndegeputo]]
 
==FAIDAFaida ZAya USAFILIusafiri==.
* Husaidia katika kufikisha haraka [[vyakula]] au [[matunda]] yanayooza mapema.
* Husaidia kufikisha haraka [[habari]] zilizo kwenye majalidamajarida n.k.
*huwezesha Huwezesha mahusiano kati ya nchi na nchi.
* Husaidia [[biashara]] za masafa marefu kuendelea.
* Pia husaidia katika [[maendeleo]] ya nchi (kimapato)
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Usafiri|*]]