Mtaalamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Koelner Dom - Bayernfenster 10.jpg|thumb|250px|[[Mamajusi|Wataalamu watatu wa nyota]] katika [[Injili ya Mathayo]], [[kanisa kuu]] la [[Cologne]], [[Ujerumani]].]]
'''Mtaalamu''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]) mara nyingi humaanisha [[mtu]] ambaye ni [[bingwa]] katika [[taaluma]] fulani.
 
Mtaalamu anaaminika katika [[fani]] yake kama chanzo cha ujuzi au maarifa.
 
Utaalamu huo unaweza kutegemea [[elimu]], [[malezi]], [[ufundi]], [[maandishi]] au [[mang'amuzi]] yake.
 
Kihistoria, mtaaluma aliweza kuitwa ''mzee wa hekima''.
 
Mtu huyo kwa kawaida alikuwa na [[uwezo]] mkubwa upande wa [[akili]] pamoja na [[busara]] katika maamuzi.<ref>[http://www.thefreedictionary.com/wise+man Wise man]</ref>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.witness.net The Expert Witness Network]
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Elimu]]
[[Category:Elimu jamii]]