Taiga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:11, 16 Aprili 2016

Taiga (ing.[1] pia boreal forest [2] au snow forest [3] ni jina kwa maeneo makubwa ya misitu kwenye kaskazini ya dunia inayofanywa na aina mbalimbali ya miti ya misonobari, katika Eurasia pia pamoja na mibetula.

Uenezaji wa taiga duniani, inapatikana katika kaskazini kama kanda pana kati ya taiga na mbuga baridi.
Misonobari kwenye taiga ya Alaska.

Taiga inafunika sehemu kubwa za Alaska, Kanada, Uswidi, Ufini, Norwei, Kazakhstan ya kaskazini and Urusi, hasa Siberia) pamoja sehemu za kaskazini za Marekani.

Maeneo ya taiga yako upande wa kusini wa kanda la tundra. Katika Urusi taiga inafuatwa na kanda la mbuga baridi kwenye kusini yake.


Viungo vya Nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Asili ya jina iko katika lugha za Kituruki
  2. msitu wa kaskazini
  3. msitu wa theluji