Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Marejeo: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link GA|en}} using AWB (10903)
Mstari 30:
* E: tabianchi ya nchani
 
Hizi kanda tano hugawiwa kwa vikundi vya ngazi ya pili kama vile [[msitu wa mvua]], [[monsuni]], [[savana]], nusutropiki, kibara nyevu, kibahari, kimediteranea, nusuaktiki, [[tundra]], barafu ya nchani, [[jangwa]] na kadhalika.
===A: Tabianchi ya tropiki===
Mstari 81:
* '''Tabianchi za [[tundra]]''' zinatokea katika kaskazini kabisa za mabara ya Amerika, Asia na Ulaya na kwenye visiwa karibu na [[Antaktiki]]. Mwezi wa joto zaidi huwa na halijoto ya wastani baina 0 °C na 10 °C. Sehemu kubwa ya mwaka ina halijoto wastani chini ya 0 °C.
 
* '''Tabianchi ya barafu''' inapatika [[Antaktiki]], [[Greenland]] ya Kati na kwenye eneo la barafu ya kudumu juu ya bahari ya [[Aktiki]]. Miezi yote huwa na halijoto wastani chini ya 0 °C.
 
== Marejeo ==