Taiga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Picea mariana taiga.jpg|thumb|250px|Misonobari kwenye taiga ya [[Alaska]].]]
 
'''Taiga''' ([[ing.]]<ref>Asili ya jina iko katika [[lugha za KiturukiKiturki]]</ref> pia ''boreal forest'' <ref>msitu wa kaskazini</ref> au ''snow forest'' <ref>msitu wa theluji</ref>) ni jina kwa maeneo makubwa ya [[misitu]] kwenye kaskazini ya dunia inayofanywa na aina mbalimbali ya miti ya [[misonobari]], katika Eurasia pia pamoja na [[mibetula]]. Takriban 29% za misitu yote duniani ni aina ya taiga.
 
Taiga inafunika sehemu kubwa za [[Alaska]], [[Kanada]], [[Uswidi]], [[Ufini]], [[Norwei]], [[Kazakhstan]] ya kaskazini and [[Urusi]], hasa [[Siberia]]) pamoja sehemu za kaskazini za [[Marekani]].
 
Maeneo ya taiga yako upande wa kusini wa kanda la [[tundra]]. Katika Urusi taiga inafuatwa na kanda la [[mbuga baridi]] kwenye kusini yake.
 
Kwa jumla tabianchi kwenye taiga ni baridi sana kwa miezi mingi ya mwaka<ref>{{cite web|url=http://www.radford.edu/~swoodwar/CLASSES/GEOG235/biomes/taiga/taiga.html |title=radford:Taiga climate |publisher=Radford.edu |accessdate=2011-02-21}}</ref>. [[Majirajoto]] ni fupi, kwa kawaida miezi 1-2 pekee. Taiga ya Siberia wastani ya halijoto wakati wa baridi ni kati ya -6°C na -50°C.<ref name="VOL page 568">''Encyclopedia Universalis'' édition 1976 VOL.2 ASIE – Géographie physique, page 568 {{fr icon}}</ref>
 
==Marejeo==
<references/>
 
== Viungo vya Nje ==