Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mito: nyongeza
Mstari 95:
 
=== Mito ===
Kwa jumla kuna mito mielfu. Mingi iko sehemu ya beseni ya utiririshaji ya [[Bahari Aktiki]] ambako kuna watu wachache. Kwa hiyo sehemu kubwa ya maji haina matumizi kwa manufaa ya kibinadamu. Kinyume chake maeneo ya Urusi ya kusini penye vipindi vya joto na wakazi wengi yanaona vipindi vya uhaba wa maji kama vile beseni za mto Don na mto Kuban.
Kati ya mito mikubwa kuna:
 
Upande wa mashariki ya Ural kuna mito 40 yenye urefu unaozidi kilomita 1,000. Ni hasa mito 3 inayobeba maji ya Siberia kwenda Bahari Aktiki:
 
*[[Irtysh (mto)|Irtysh]] na [[Ob (mto)|Ob]] (jumla urefu wa 5,380 km),
* [[Yenisei (mto)|Yenisei]] (urefu 4,000 km)
* [[Lena (mto)|Lena]] (3,630 km).
 
Mito hii mitatu humwaga kila sekunde 50,000 m³ kwenye Bahari Aktiki.
 
Kati ya mito mingine mikubwa kuna:
* [[Volga]] ambayo ni [[mto]] mrefu wa Ulaya ukiishia katika [[Bahari ya Kaspi]]
* [[Dnepr]] unaoishia katika [[Bahari Nyeusi]]; ni [[njia ya maji]] muhimu
* [[Kama (mto)|Kama]] ni njia muhimu pia
* [[Oka (mto)|Oka]]
* [[Moskva (mto)|Moskva]]
* [[Ob (mto)|Ob]]
* [[Irtysh (mto)|Irtysh]]
* [[Yenisei (mto)|Yenisei]]
* [[Lena (mto)|Lena]]
* [[Neva]]
* [[Don]]