Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mito: +maziwa
Mstari 111:
Sehemu zinazopokea mvua nyingi ziko karibu na pwani kama [[Sochi]] kwenye Bahari Nyeusi (1500 mm kwa mwaka) na visiwa vya Kurili (1000 - 1500 mm, hasa theluji). Pwani la Baltiki lapokea 600 mm, Moscow 525 mm kwa mwaka. Maeneo yaliyo karibu na Kazakhstan hupokea 20 mm kwa mwaka pekee, na kwenye sehemu za pwani za Aktiki ni 15 mm pekee.
 
=== Mito na maziwa===
Kwa jumla kuna mito mielfu. Mingi iko sehemu ya beseni ya utiririshaji ya [[Bahari Aktiki]] ambako kuna watu wachache. Kwa hiyo sehemu kubwa ya maji haina matumizi kwa manufaa ya kibinadamu. Kinyume chake maeneo ya Urusi ya kusini penye vipindi vya joto na wakazi wengi yanaona vipindi vya uhaba wa maji kama vile beseni za mto Don na mto Kuban.
 
Mstari 131:
* [[Don]]
* [[Amur (mto)|Amur]]
 
Maziwa ya Urusi hushika takriban robo ya [[maji matamu]] yote duniani yasiyo [[barafu]]. <ref name=loc>{{cite web|last=Library of Congress|title=Topography and drainage|url=http://countrystudies.us/russia/23.htm|accessdate=26 December 2007}}</ref>
 
Ziwa kubwa ni [[Ziwa Baikal]] ambayo ni ziwa yenye maji mengi duniani.<ref name=baikal>{{cite web|title=Lake Baikal—A Touchstone for Global Change and Rift Studies|publisher=United States Geological Survey|url=http://pubs.usgs.gov/fs/baikal/|accessdate=26 December 2007}}</ref> Maziwa mengine ni pamoja na [[Ziwa Ladoga|Ladoga]] na [[Ziwa Onega|Onega]] ambayo ni kati ya maziwa makubwa zaidi ya [[Ulaya]].
 
=== Miji mikubwa ===