Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mito: +maziwa
→‎Watu: lugha
Mstari 260:
Maeneo yote ya Shirikisho yamepangwa katika [[Kanda ya Shirikisho la Urusi|kanda]] 9. Kila moja huwa na Mkuu wa Kanda anayeteuliwa na raisi na kazi yake ni kusimamia na kuangalia kazi ya serikali za maeneo.
 
==Watu, lugha, dini==
Warusi asilia ni 81%, lakini kuna makabila mengine 160 katika shirikisho, ambayo yanatumia [[lugha]] 100 hivi.<ref Kubwaname=britannica>{{cite zaidiweb ni|url=http://www.britannica.com/EBchecked/topic/513251/Russia la|title=Russia [[Watatari]]|publisher=Encyclopædia (3.7%)Britannica wanaoongea|accessdate=31 [[Kitatari]]January 2008}}</ref>.
 
Kufuatana na sensa ya mwaka 2002 kulikuwa na milioni 142.6 wasemaji wa Kirusi, wakifuatwa na wasemaji wa [[Kitatari]] milioni 5.3 na [[Kiukraina]] milioni 1.8.<ref>{{cite web|url=http://www.perepis2002.ru/index.html?id=87|title=Russian Census of 2002|work=4.3. Population by nationalities and knowledge of Russian; 4.4. Spreading of knowledge of languages (except Russian)|publisher=[[Rosstat]]|accessdate=16 January 2008}}</ref>
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kirusi]].
 
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kirusi]] kwenye maeneo yote ya Shirikisho ka Kirusi lakini katiba ya nchi inatoa kibali kwa [[Jamhuri ya Shirikisho la Urusi|Jamhuri za shirikisho]] kuamulia lugha rasmi ya nyongeza kwa eneo lao pamoja na Kirusi.<ref>{{cite web|title=The Constitution of the Russian Federation|work=(Article 68, §2)|url=http://www.constitution.ru/en/10003000-04.htm|accessdate=27 December 2007}}</ref>. Kuna pia [[Eneo huru la Urusi|"maeneo huru" ya pekee]] yenye lugha zao pamoja na Kirusi
 
Baada ya ukomunisti kuanguka, [[dini]] ulizozipiga vita kwa njia zote kwa miaka mingi zimepata uhai mpya. Siku hizi 3/4 za wakazi ni [[Wakristo]], hasa [[Waorthodoksi]], na 6.5% ni [[Waislamu]].