Waturuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Waturuki.jpg|thumb|400px|'''Waturuki''': [[Mehmed II]]- [[Suleiman Mkuu]] - [[Mustafa Kemal Atatürk]] - [[Sabiha Gökçen]] - [[Wakinadada Pekinel]]<br>[[Cahit Arf]] - [[Nazım Hikmet]] - [[İdil Biret]] - [[Oktay Sinanoğlu]] - [[Şebnem Ferah]]]]
 
'''Waturuki''' (kwa [[Kituruki]]: '''Türk''', ''uwingiwingi: Türkler'') ni jumuiya 70 za watu wanaotumia [[lugha]] ya [[Kituruki]] au mojamojawapo ya [[lugha za Kiturki|lugha zilizo karibu]].
 
Kwa maana nyingine ni jina la [[raia]] wote wa nchi ya [[Uturuki]]. Wakazi wa [[Uturuki]] ni [[milioni]] 78 hivi, lakini si wote Waturuki [[utamaduni|kiutamaduni]]: wengine (20-30%) ni [[Wakurdi]], halafu [[Waarabu]], [[Waarmenia]] n.k.
Kwa maana mengine ni raia za nchi ya [[Uturuki]].
 
Wakazi wa [[Uturuki]] ni mnamo milioni 73 lakini si wote Waturuki kiutamaduni wengine 20-30 % ni [[Wakurdi]]. Wahamiaji nje ya Uturuki na watoto wao ni takriban milioni 4 wengi wao wako [[Ujerumani]].
 
Waturuki walio wengi ni Waislamu [[Wasunni]] lakini kuna tofauti kati yao. Wengine labda 25% ni [[Waalevi]] ambao ni tawi la [[Washia]].
 
Waliohamia nje ya Uturuki pamoja na [[watoto]] wao ni takriban milioni 4: wengi wao wako [[Ujerumani]].
 
Waturuki walio wengi ni [[Waislamu]] [[Wasunni]], lakini kuna tofauti kati yao. Wengine (labda 25%) ni [[Waalevi]] ambao ni tawi la [[Washia]].
 
{{mbegu}}