Siberia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Wakazi: taipo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Siberia Federal Subjects.png|thumb|right|250px|Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu nyeusiiliyokolea.]]
'''Siberia''' (kwa [[Kirusi]]: Сиби́рь, ''Sibir''; kwa [[Kitartari]]: Seber) ni eneo kubwa [[mashariki]] mwa [[Urusi]]. Ni zaidi ya [[nusu]] ya eneo la Urusi wote. Eneo lake lote ni [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 9.6 ambayo ni karibu sawa na [[Ulaya]] yote (km² milioni 10.6).
 
'''Siberia''' ([[Kirusi]]: Сиби́рь, ''Sibir''; Kitartari: Seber) ni eneo kubwa katika mashariki ya [[Urusi]].
 
== Maana ya Siberia ==
Kuna namna mbalimbali ya kutaja mipaka ya "Siberia".
* [[Jiografia|Kijiografia]] mara nyingi "Siberia" yamaanishainamaanisha sehemu ya Kiasia ya Urusi. Kwa maana hiihiyo eneo lake ni kubwa sana ni, linajumlisha [[Asia ya Kaskazini]] yote.
* [[Siasa|Kisiasa]] ni sehemu tu ya eneo hili (tazama ramani). Kwa maana hii Siberia ni [[jimbo]] la [[shirikisho la Urusi]]. Kisiasa [[Ural (jimbo)|Ural]] na [[Mashariki ya Mbali (jimbo)|Mashariki ya Mbali]] ni majimbo ya pekee.
 
Mipaka ya Siberia ya kijiografia ni safu ya [[milima ya Ural]] upande wa [[magharibi]], [[bahari ya Aktika]] kwa [[kaskazini]], [[Pasifiki]] katika Mashariki na nchi za [[Kazakhstan]], [[Mongolia]] na [[Uchina]] upande wa kusini. Siberia ni zaidi ya nusu la eneo la Urusi wote. Eneo lote ni [[kilomita za mrabakusini]] milioni 9.6 ambayo ni karibu sawa na Ulaya yote (milioni 10.6 km²).
 
== Wakazi ==
Idadi ya wakazi ni ndogo: kuna milioni 23 pekee. Walio wengi ni [[Warusi]] (79%) wanaoishi mjini. Wakazi asilia (21%) ni vikundi vingi vidogo; walio wengi ni wasemaji wa [[lugha za Kiturki]]. [[Utamaduni]] wao ulikuwa uvindaji[[uwindaji]] na [[ufugaji]] lakini sasa ni wachache tu wanaoendelea hivyo.
 
== Hali ya hewa ==
[[Hali ya hewa]] ya Siberia ni kali sana. [[Kipindi cha joto]] panakina [[joto]] kali hadi +40 [[°C]], lakini [[kipindi cha baridi]] [[halijoto]] hushuka chini hadi -67 °C. [[Kijiji]] cha [[Oymyakon]] (katika jamhuri ya [[Sakha]]) ni mahali baridi duniani; -71.2 °C zilipimwa hapa.
 
Kipindi cha baridi ni kirefu, kipindi cha joto ni kifupi. Sehemu kubwa ya Siberia inafunikwa na theluji kwa muda wa miezi tisa kila mwaka. Hivyo kilimo kinawezekana katika kanda nyembamba la kusini. Sehemu kubwa nchi imefunikwa na misitu. Lakini maeneo baridi sana ya kaskazini hapana miti tena ni manyasi na majani tu.
 
Kipindi cha baridi ni kirefu, kipindi cha joto ni kifupi. Sehemu kubwa ya Siberia inafunikwa na [[theluji]] kwa muda wa miezi tisa kila [[mwaka]]. Hivyo [[kilimo]] kinawezekana katika kanda nyembamba la kusini. Sehemu kubwa nchi imefunikwa na [[misitu]]. Lakini maeneo baridi sana ya kaskazini hapana [[miti]] tena, ni [[manyasi]] na [[Jani|majani]] tu.
=== Mito na maziwa ===
Siberia ina [[mito]] mingi mikubwa. Lakini huganda kabisa wakati wa baridi, yaani kwa sehemu kubwa wa mwaka isipokuwa ile katika kusini.
 
* [[Mto Anabar]]
Line 52 ⟶ 50:
{{Mbegu-jio-Urusi}}
{{urusi}}
 
[[Jamii:Urusi]]
[[Jamii:Siberia| ]]
[[Jamii:Asia]]