Afya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia, bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] [(hiyo iwe katika asilimia ndogo sana]).
 
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.PAMOJA NA HAYO ILI UUJENGE MWILI UNATAKIWA UWE NA USTADI WA KUFANYA MAZOEZI HATA MAMA MJAMZITO UNAPASWA KUFANYA MAZOEZI KUTOKUFANYA KAZI NGUMU.. NK.
 
== Fafanuzi za afya ==
Mstari 22:
[[Serikali]] zinatarajiwa kuandaa [[wataalamu]] wa mambo ya afya na kujenga [[hospitali]] nyingi hata [[kijiji|vijijini]] kwa sababu watu wengi hupoteza maisha kwa kukosa [[huduma]] za afya: hii itasaidia kupunguza [[Kifo|vifo]].
 
Watu wanatakiwa kuwa na ustadi wa kufanya [[mazoezi]] kwa wingi naHata mjamzito anapaswa kufanya mazoezi, ingawa si kazi ngumu.

Pia kula [[mlo]] bora wakati wote ili kuepukana na [[magonjwa]] yanayotokana na ukosefu wa [[chakula]] fulani ([[virutubishi]]).
 
== Tanbihi ==