12 Novemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Novemba}}
== Matukio ==
Tarehe '''12 Novemba''' ni [[sikukuu]] ya '''Mtakatifu [[Yosafat Kuntsevych]]'''.
 
== Waliozaliwa ==
* [[1833]] - [[Alexander Borodin]], (mtungaji[[mtunzi]] wa [[muziki]] [[Urusi|Mrusi]])
* [[1842]] - [[Lord Rayleigh]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1904]])
* [[1938]] - [[Benjamin Mkapa]], ([[Rais]] wa tatu wa [[Tanzania]])
* [[1973]] - [[Radha Mitchell]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Australia]]
* [[1974]] - [[Ralf Krewinkel]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Uholanzi]]
 
== Waliofariki ==
* [[607]] - [[Papa Boniface III]]
* [[1463]] - Mtakatifu [[Diego wa Alkala]], [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] kutoka [[Hispania]]
* [[1623]] - Mtakatifu [[Yosafat Kuntsevych]], [[askofu]] wa [[Polotsk]]
 
==Viungo vya nje==