Kilipukaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 74 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q12870 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
'''Kilipukaji''' <ref>Kilipukaji ni msamiati wa [[KKK/ESD]] p. 271</ref> ni kemikali au dawa lenye sifa ya kumenyuka haraka na ghafla kwa umbo la [[mlipuko]]. [[Mmenyuko]] huu unatoa joto na gesi inayopanuka na kusababisha mshtuko.
 
Kilipukaji kinachojulikana zaidi ni [[baruti]] inayotumiwailiyotumiwa katika [[silaha]] lakini leo nafasi yake imechukuliwa na [[TNT]] hasa. Vingine hutumiwa kwa milipuko ama ya kijeshi au ya kiraia (ujenzi wa barabara, migodi, [[windo la mawe]]).
 
== Kemia ya kilipukaji ==