Trinitrotoluene : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Trinitrotoluene''' au kifupi '''TNT''' ni kampaundi ya kikemia inayotumiwa hasa kama kilipukaji ya kijeshi. TNT si kilipukaji kikali zaidi kushinda...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:26, 18 Aprili 2016

Trinitrotoluene au kifupi TNT ni kampaundi ya kikemia inayotumiwa hasa kama kilipukaji ya kijeshi.

TNT si kilipukaji kikali zaidi kushinda vingine lakini inapendelewa kwa sababu matumizi yake ni salama kushinda dainamiti au nitrogliserini.