Majira ya kupukutika majani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Sahihisho
Mstari 1:
[[File:Hapgood Pond - Flickr - USDAgov.jpg|thumb|250px|[[Uzuri]] wa ma[[jani]] kupuputika katika [[Green Mountain National Forest]].]]
'''Majira ya kupuputika majani''' (kwa [[Kiingereza]] '''Fall''' au '''Autumn''')<ref>{{cite web|url=http://oxforddictionaries.com/definition/english/fall?q=fall |title =Oxford Dictionary on the North American usage of Fall}}</ref> ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na [[halijoto]] yake ni ya baridi kiasi. Kadiri ya [[umbali]] na [[ikweta]], [[mchana]] unazidi kufa mfupi na [[usiku]] kuwa mrefu.
 
Pamoja na hayo, miti mingi inaweza ikapotewa na majani yote: ndiyo asili ya jina la majira.