Novaya Zemlya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mahali pa Novaya Zemlya duniani, pamoja na mahali pa mlipuko wa bomu ya nyuklia Picha:Belushya Guba on map of Novaya Zemlya.jpg|...'
 
kiungo
Mstari 5:
Wakazi asilia walikuwa wavindaji na wavuwi wa kabila la Wanenets waliohamishwa kutoka visiwa katika miaka ya 1950 <ref>{{cite web|url=http://www-ns.iaea.org/downloads/rw/waste-safety/north-test-site-final.pdf |title=Microsoft Word - North Test Site _FINAL_.doc |format=PDF |accessdate=2012-09-27}}</ref>. Wakati ule walikuwa watu wasiozidi 300. <ref>{{cite web|url=http://www-ns.iaea.org/downloads/rw/waste-safety/north-test-site-final.pdf |title=Microsoft Word - North Test Site _FINAL_.doc |format=PDF |accessdate=2012-09-27}}</ref>. Uhamisho huu ulisababishwa na mipango ya kutumia visiwa kwa shughuli za kijeshi na majaribio ya kulipusha mabomu ya nyuklia.
 
Novaya Zemlya kuna visiwa viwili vikubwa vinavyotengwa kwa [[mlangobahari]] mwembamba mwenye upana wa mita 600 hadi kilomita chache. Mlima mkubwa uko kwenye kisiwa cha kaskazini mwenye kimo cha mita 1,547.
 
Hadi leo Novaya Zemlya ni kituo cha kijeshi na wakazi wengi ni wanajeshi na familia zao. Umoja wa Kisovyeti ulitumia visiwa kwa milipuko ya majaribio ya [[mabomu ya nyuklia]]; tar. 30 Oktoba 1961 mlipuko mkubwa wa kinyuklia katika historia ulitekelezwa hapa. Nguvu ya bomu ilikadiriwa kuwa na [[megatoni]] 50.