Funguvisiwa la Kurili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '350px|thumb|Mahali pa Kurili kati ya Japani na Kamchatka - Urusi bara '''Funguvisiwa ya Kurili''' (rus. ури́льски...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sea_of_Okhotsk_map.png|350px|thumb|Mahali pa Kurili kati ya Japani na Kamchatka - Urusi bara]]
'''Funguvisiwa ya Kurili''' ([[rus.]] ури́льскиекури́льские острова́ ''kurilskiye ostrova'') ni kundi la visiwa katika [[Pasifiki]] ya Kaskazini ambavyo ni sehemu ya [[Urusi]]. Ni visiwa 56 pamoja na miamba midogo viivyopangwa kama safu au nyororo yenye urefu wa kilomita 1300 kati ya rasi ya [[Kamchatka]] na kisiwa cha [[Hokkaido]] cha [[Japani]]. Vinatenga [[Bahari ya Okhotsk]] na Pasifiki kubwa.
 
==Majina==