Sakhalin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d CYl7EPTEMA777 alihamisha ukurasa wa Sakhalin hadi Sahalin
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sea of Okhotsk map ZI-2b.PNG|thumb|SakhalinSahalin kwenye Pasifiki kati ya Urusi na Japani]]
'''SakhalinSahalin''' ([[rus.]] Сахалин) ni kisiwa kikubwa cha [[Urusi]] kwenye kaskazini ya [[Bahari Pasifiki]] kilichopo kati ya 45°50' na 54°24'. Ni sehemu ya mkoa wa [[Sakhalin Oblast]]. Iko karibu na pwani la mashariki la Urusi na karibu na ncha ya kaskazini ya Japani.
 
Eneo lake ni kilomita za mraba 72,492 kuna wakazi 580,000. Wakati wa karne za 19 na 20 ulikuwa na mavutano kati ya [[Japani]] na Urusi kuhusu utawala wa kisiwa. Hadi 1945 kiligawiwa kati ya mataifa haya mawili. urusi ilitwaa kisiwa chote mwaka 1945 baada ya kushinda Japani kwenye [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].