Sakhalin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sea of Okhotsk map ZI-2b.PNG|thumb|Sahalin kwenye Pasifiki kati ya Urusi na [[Japani]]]]
'''Sahalin''' ([[rus.]] Сахалин) ni kisiwa kikubwa cha [[Urusi]] kwenye kaskazini ya [[Bahari Pasifiki]] kilichopo kati ya 45°50' na 54°24'. Ni sehemu ya mkoa wa [[Sakhalin Oblast]]. Iko karibu na pwani la mashariki la Urusi na karibu na ncha ya kaskazini ya Japani.