Volga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d CYl7EPTEMA777 moved page Volga (mto) to Volga over redirect
No edit summary
Mstari 1:
{{mto
| jina = Mto Volga
| picha = Russia River Volga.jpg
| maelezo_ya_picha = Mto Volga huko Yaroslavl
Mstari 18:
[[Picha:Volgarivermap.png|thumb|right|Beseni ya Volga]]
 
'''Mto Volga''' (Kirusi: '''Волга''') ni mto mrefu wa [[Ulaya]]. Mwendo wake kuanzia chanzo hadi mdomo uko nchini [[Urusi]]. Urefu wake ni 3,690 km. Inanaza kaskazini- magharibi ya [[Moskva]] na kupita kwenye tambarare za Urusi ya magharibi. Inaishia kwenye [[Bahari ya Kaspi]] kwa kimo cha -28 (chini ya [[UB]]) karibu na mji wa [[Astrakhan]]. Volga inapokea takriban mito 200 inayoishia humo.
 
Mto ni [[njia ya maji]] muhimu inayounganana na: