Amur : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d CYl7EPTEMA777 alihamisha ukurasa wa Amur (mto) hadi Amur
No edit summary
Mstari 1:
{{Sanduku ya Mto | river_name = Mto wa Amur
| image_name =Heilongjiang_(Amur)_shore.jpg
| caption = Mto Amur karibu na Heihe (China) ikitazama Urusi
Mstari 11:
}}
[[Picha:Amur watershed.png|thumb|left|250px|Beseni ya Amur]]
'''Mto wa Amur''' ([[Kirusi]]: '''Амур'''; [[Kichina]]: '''heilong jiang''') ni mto mkubwa wa [[Asia ya Mashariki]] ambao ni mpaka kati ya [[Urusi]] na [[China]] kwa maelfu ya kilomita.
 
Amur ina chanzo chake penye kuungana kwa [[tawimito]] ya [[Argun (mto|Argun]] na [[Shilka]] karibu na kijiji cha Moguhe katika jimbo la [[Heilongjiang]]. Kuanzia hapa inafuata mwendo wake kwa urefu wa 2,874 km hadi kuishia katika [[Bahari ya Ochotsk]] ([[Pasifiki]]) karibu na kisiwa kikubwa cha [[Sakhalin]]. Tawimito Argun na Shilka inaanza katika [[Mongolia]] yenyewe na [[Mongolia ya Kichina]].