Pasifiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
tahajia
Mstari 12:
[[Picha:Pacific Ocean surface 1.jpg|thumb|left|200px|Pasifiki inavyoonekana kutoka [[anga|angani]]; Australia iko upande wa kushoto chini.]]
 
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Celebes]], [[Bahari ya UchinaKusini ya KusiniChina]] na [[Bahari ya Mashariki ya China]].
 
[[Jina]] la Pasifiki (kwa [[Kilatini]]: yenye [[amani]], yaani [[kimya]]) limetokana na [[Wazungu]] wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka [[1520]] [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. ù
 
Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha ma[[wimbi]] haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza [[miji]] na [[vijiji]] [[ufuko]]ni.