Bahari ya Laptev : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Laptev Sea map.png|thumb|300px|Bahari ya Laptev]]
'''Bahari ya KaraLaptev''' ni tawi[[bahari laya pembeni]] ya [[Bahari ya Aktiki]] [[kaskazini]] kwa [[Urusi]].
Iko kati ya pwani la kaskazini ya [[Siberia]], rasi ya [[Taimyr]], [[Severnaya Zemlya]] na [[Visiwa vya Siberia Mpya]].
 
Iko katikati ya [[Bahari ya Kara]] kwenye magharibi na [[Bahari ya Mashariki ya Siberia]].
 
[[Mto Lena]] ni mto mkubwa unaoishia hapa katika [[delta]] pana.
 
[[Tabianchi]] ni baridi sana. Kutokana na [[latitudo]] karibu na [[ncha ya kaskazini]] usiku wa majirabaridi na mchana wa majirajoto hudumu miezi kadhaa.
 
Halijoto ya hewa iko chini ya [[sentigredi]] 0 kwa miezi 11 kila mwaka. Sehemu kubwa ya mwaka bahari imefunikwa na ngao ya [[barafu]] inayoweza kukua hadi unene wa mita 20-25.
 
{{fupi}}
 
[[Jamii:Bahari Aktiki]]
[[Jamii:Aktiki]]