Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
Lugha zote za Kenya huzungumzwa Nairobi lakini hasa ni [[Kiingereza]] na [[Kiswahili]], pamoja na [[Sheng]].
 
== Eneo lake, halila yajiji hewala Nairobi==
[[File:Nairobi County in Nairobi Metro.png|thumb|Nairobi County (red) within Nairobi Metro (green)]]
Nairobi yenyewe iko ndani ya Eneo la jiji la Nairobi (ing. Greater Nairobi Metropolitan region) iliyofanyika na [[wilaya]] ''(county)'' 4 (kati ya jumla ya 47) za Kenya. Eneo hili linazalisha asilimia 60% za mapato ya taifa.<ref>http://196.200.27.243:8080/xmlui/bitstream/handle/123456789/111/Nairobi.pdf?sequence=3</ref><ref>http://www.nairobimetro.go.ke/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=43&Itemid=90.</ref>
 
Wilaya hizi ni
{| class="sortable wikitable"
|-
! Eneo || Wilaya || Eneo lake (km<sup>2</sup>) || Idadi ya wakazi<br>Sensa 2009 || Jiji/Mii/Manisipaa kwenye wilaya
|-
| Nairobi ya Kati || Wilaya ya Nairobi || align="right"|694.9||align="right"|3,138,369|| Nairobi
|-
| Eneo la Kaskazini || [[Kiambu County]] || align="right"|2,449.2||align="right"|1,623,282|| [[Kiambu]], [[Thika]], [[Limuru]], [[Ruiru]], [[Karuri]], [[Kikuyu, Kenya|Kikuyu]], [[Kahawa]]
|-
| Eneo la Kusini || [[Kajiado County]] || align="right"|21,292.7||align="right"|687,312|| [[Kajiado]], Olkejuado, Bissil, [[Ngong, Kenya|Ngong]], [[Kitengela]], [[Kiserian]], [[Ongata Rongai]]
|-
| Eeno la Mashariki || [[Machakos County]] || align="right"|5,952.9||align="right"|1,098,584|| [[Kangundo]]-[[Tala, Kenya|Tala]], [[Machakos]], [[Athi River]]
|-
| '''''Jumla'''''|| Eneo la Jiji la Nairobi || align="right"|30,389.7||align="right"|6,547,547||
|} Source: [http://www.nairobimetro.go.ke/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=25&Itemid=57/ NairobiMetro]/ [http://www.scribd.com/doc/36672705/Kenya-Census-2009/ Kenya Census]
 
== Mazingira yake, hali ya hewa ==
Nairobi imeanzishwa mahali ambako nchi tambarare ya [[Athi]] inakutana na mtelemko wa nyanda za juu zinazoongozana na [[Bonde la Ufa]]. Kitovu cha Nairobi iko zipatao 1624 m juu ya [[UB]]. Mahali pake ni kama 150&nbsp;km kusini mwa [[ekweta]]. Hali ya hewa haina joto kali. Halijoto ya wastani ni 20,5° mwezi wa Machi, na 16,8° mwezi wa Julai. Mvua nyingi hunyesha mwezi wa Machi (199&nbsp;mm), [[kiangazi]] ina 14mm tu wakati wa Julai.