Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
[[Picha:25332612.nairoboi013.JPG|thumb|260px|Jomo Kenyatta]]
'''Nairobi''' ni [[mji mkuu]] wa [[Kenya]] na vilevile mojawapo ya [[mikoa ya Kenya]]. Ni kati ya [[miji]] mikubwa ya [[AfricaAfrika]] ukiwa na wakazi wapataowapitao [[milioni]] 3. Kulingana na [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2009]], Nairobi ina wakaaji 3,138,295 katika eneo la 696 [[km2]] 696 (269 sq mi 269). Pamoja na votongoji vyake, Nairobi ni mji wa 12 kwa ukubwa barani [[Africa]] Jina Nairobi limetokana na neno la [[Kimaasai]], Enkarenairobi, linalomaanisha "mahali penye maji baridi."
 
Pamoja na [[kitongoji|vitongoji]] vyake, Nairobi ni mji wa 12 kwa ukubwa [[barani]] [[Afrika]].
Lugha zote za Kenya huzungumzwa Nairobi lakini hasa ni [[Kiingereza]] na [[Kiswahili]], pamoja na [[Sheng]].
 
Jina Nairobi limetokana na neno la [[Kimaasai]], Enkarenairobi, linalomaanisha "mahali penye maji baridi."
 
[[Lugha]] zote za Kenya huzungumzwa Nairobi, lakini hasa ni [[Kiingereza]] na [[Kiswahili]], pamoja na [[Sheng]].
 
==Eneo la jiji la Nairobi==
[[File:Nairobi County in Nairobi Metro.png|thumb|Nairobi County (red) within Nairobi Metro (green)]]
Nairobi yenyewe iko ndani ya Eneo la [[jiji]] la Nairobi ''([[ing.]]kwa Kiingereza: Greater Nairobi Metropolitan region)'' liliyofanyika na [[wilaya]] ''("county")'' 4 (kati ya jumla ya 47) za Kenya.

Eneo hili linazalisha [[asilimia]] 60% za mapato[[pato yala taifa]].<ref>http://196.200.27.243:8080/xmlui/bitstream/handle/123456789/111/Nairobi.pdf?sequence=3</ref><ref>http://www.nairobimetro.go.ke/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=43&Itemid=90.</ref>
 
Wilaya hizi ni
Line 46 ⟶ 52:
 
== Mazingira yake, hali ya hewa ==
Nairobi imeanzishwa mahali ambako nchi [[tambarare]] ya [[Athi]] inakutana na mtelemko wa [[nyanda za juu]] zinazoongozana na [[Bonde la Ufa]].

[[Kitovu ]] cha Nairobi ikokiko zipatao 1624 [[m]] 1624 juu ya [[UB]]. Mahali pake ni kama 150&nbsp;[[km]] 150 kusini mwa [[ekwetaikweta]].

[[Hali ya hewa]] haina [[joto]] kali. [[Halijoto]] ya wastani ni 20,5[[°C]] mwezi wa Machi, na 16,8°C mwezi wa Julai. [[Mvua]] nyingi hunyesha mwezi wa Machi (199&nbsp;[[mm]] 199), [[kiangazi]] inakina mm 14mm14 tu wakati wa Julai.
 
== Mitaa ya Nairobi ==
Ndani ya jiji la Nairobi kuna [[mitaa]] mbalimbali kama vile [[Dandora (Nairobi)|Dandora]], [[Eastleigh (Nairobi)|Eastleigh]], [[Embakasi (Nairobi)|Embakasi]], [[Highridge (Nairobi)|Highridge]], [[Huruma(Nairobi)|Huruma]], [[Jericho (Nairobi)|Jericho]], [[Karen (Nairobi)|Karen]], [[Kariobangi]], [[Kiambiu]], [[Kibera]], [[Langata]], [[Lavington (Nairobi)|Lavington]], [[Mathare]], [[Parklands (Nairobi)|Parklands]], [[South C (Nairobi)|South C]], [[Westlands (Nairobi)|Westlands]], [[Kawangware]] [[Karen]]
 
== Historia ya Nairobi ==
Nairobi imeanzishwa mw. 1899ilianzishwa na [[Waingereza]] mwaka [[1899]] kama kambi ya kujenga [[Reli ya Uganda]]. Mahali ilikuwapalikuwa karibu katikati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]], palikuwa na [[maji]] ikaonekanapakaonekana ilifaapanafaa kwa kituo njiani. Mwanzo wa Nairobi ilikuwaulikuwa kambi kubwa ya ma[[hema]] na [[ghala]] za vifaa vya kujenga [[reli]].
 
Mwanzoni viongozi wengine walitaka kuacha eneo hili kwa sababu ya [[matope]] mengi. Lakini makao yaliendelea kukua, [[nyumba]] za [[jiwe|mawe]] zikajengwa.
Nairobi imeanzishwa mw. 1899 na Waingereza kama kambi ya kujenga [[Reli ya Uganda]]. Mahali ilikuwa karibu katikati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]], palikuwa na maji ikaonekana ilifaa kwa kituo njiani. Mwanzo wa Nairobi ilikuwa kambi kubwa ya hema na ghala za vifaa vya kujenga reli.
Mwanzoni viongozi wengine walitaka kuacha eneo hili kwa sababu ya matope mengi. Lakini makao iliendelea kukua nyumba za mawe zikajengwa. Mw. 1905 Waingereza walihamisha ofisi kuu ya serikali yao ya kikoloni kutoka Mombasa kwenda Nairobi ikawa makao makuu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (''British East Africa'', baadaye ''Kenya Colony'').
 
Mwanzoni viongozi wengine walitaka kuacha eneo hili kwa sababu ya matope mengi. Lakini makao iliendelea kukua nyumba za mawe zikajengwa. Mw.Mwaka 1905 Waingereza walihamisha [[ofisi kuu]] ya [[serikali]] yao ya [[ukoloni|kikoloni]] kutoka Mombasa kwenda Nairobi, ambayo ikawa hivyo [[makao makuu]] ya [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (''British East Africa'', baadaye ''Kenya Colony'').
1963 ikawa mji mkuu wa nchi huru ya Kenya.
 
Mwaka 1963 ikawa mji mkuu wa [[nchi huru]] ya Kenya ikaendelea kukua haraka.
Ikaendelea kukua haraka.
 
== Nairobi ya leo ==
Nairobi imeibuka kuwa mojawapo kati ya miji mikubwa katika bara la AfricaAfrika. Mashirika mengi makubwa [[duniani]] yamefungua [[ofisi]] zao zinazoshuhudia eneo la Afrika ya Mashariki na [[Afrika ya Kati]]. Mojawapo ya mashirika haya ni ofisi za ya tawi la [[Umoja wa Mataifa]] (United Nations), [[UNEP]]. Kunazo pia ofisi za [[balozi|mabalozi]] wa nchi mbali mbalimbalimbali duniani.
 
Nairobi, kama miji mingi mikubwa, ina matatizo mengi yanayotokea kwa sababu ya ukubwa wake. Watamaduni walioupanga mji wa nairobiNairobi hawakutegemea kuwa ungenenepautatanuka hivyo. [[Wataalamu]] wengi wametoa maoonyomaonyo mengi kuhusu ukubwa wa mji huu na uwezo wake wa kuwahudumia waakaaziwakazi wote ambao wanazidi kuongezeka kila mwaka.
 
Nairobi imewavutia waakaaziwakazi wengi, wote wakiwa na [[hamu]] ya kujitafutia [[riziki]] yao. Ijapokuwa kunaowapo wanaofanikiwa, wengi wao hujipata wameangulia patupu wakawachwawakaachwa bila [[pesa]] au hali ya kujikimu. Jambo hili limepelekea kuwepo kwa wakaaziwakazi wa maeneo yasiyotengwa wananchi, maarufu kama 'slums' kwa kimomboKimombo. Eneo kubwa zaidi jijini Nairobi ni Kibera. Eneo hili lina ukubwa wa kilomita 2 kwa 2 na wakaaziwakazi takribani milioni moja. Eneo hili halina mipango yeyoteyoyote ya kuruhusu [[binadamu]] kuishi lakini [[umaskini]] umewavutia wengi kuishi kule.
Nairobi imeibuka kuwa mojawapo ya miji mikubwa katika bara la Africa. Mashirika mengi makubwa duniani yamefungua ofisi zao zinazoshuhudia eneo la Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kati. Mojawapo ya mashirika haya ni ofisi za ya tawi la Umoja wa Mataifa (United Nations), UNEP. Kunazo pia ofisi za mabalozi wa nchi mbali mbali duniani.
Nairobi, kama miji mingi mikubwa, ina matatizo mengi yanayotokea kwa sababu ya ukubwa wake. Watamaduni walioupanga mji wa nairobi hawakutegemea kuwa ungenenepa hivyo. Wataalamu wengi wametoa maoonyo mengi kuhusu ukubwa wa mji huu na uwezo wake wa kuwahudumia waakaazi wote ambao wanazidi kuongezeka kila mwaka.
Nairobi imewavutia waakaazi wengi wote wakiwa na hamu ya kujitafutia riziki yao. Ijapokuwa kunao wanaofanikiwa, wengi wao hujipata wameangulia patupu wakawachwa bila pesa au hali ya kujikimu. Jambo hili limepelekea kuwepo kwa wakaazi wa maeneo yasiyotengwa wananchi, maarufu kama 'slums' kwa kimombo. Eneo kubwa zaidi jijini Nairobi ni Kibera. Eneo hili lina ukubwa wa kilomita 2 kwa 2 na wakaazi takribani milioni moja. Eneo hili halina mipango yeyote ya kuruhusu binadamu kuishi lakini umaskini umewavutia wengi kuishi kule.
 
Kunayo pia matatizo ya [[ujambazi]] wa kibinafsi, ujambazi wa nyumba na [[utekaji nyara]] wa [[magari]]. Matatizo haya yamesababisha watu wengi kutoupendelea mji wa Nairobi.
 
{| border="1" cellspacing="0" cellpadding="5"