Uchumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎[[Sayansi ya Uchumi]] (economics): All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|fr}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 6:
 
== Sekta za uchumi ==
Uchumi wa kijadi katika nchi nyingi ulikuwa hasa kilimo cha kujikimu pamoja na biashara ya kubadilishana bishaabidhaa kadhaa zenye thamani kubwa. Kwa mfano tangu kale migodi ya [[Zimbabwe]] ilichimba dhahabu iliyopelekwa baadaye hadi Asia na dunia ya Mediteranea.
 
Katika uchumi wa kisasa mara nyinga sekta tatu hutofautishwa: