Uchumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Uchumi''' ni jumla ya shughuli zote za kibinadamu[[binadamu]] zinazolenga kutosheleza mahitaji ya watuyao. Ni hasa shughuli za [[uzalishaji]], [[usambazaji]] na [[utumiaji]] wa [[bidhaa]] pamoja na kutolewa kwa [[huduma]] kwa njia mbalimbali.
{{Otheruses4|Uchumi|Supamaketi|Supamaketi za Uchumi}}
 
Uchumi mara nyingi hutazamiwahutazamwa kwenye ngazi za [[kijiji]], [[eneo]], [[taifa]] au [[dunia]].
'''Uchumi''' ni jumla ya shughuli zote za kibinadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji ya watu. Ni hasa shughuli za uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa [[bidhaa]] pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali.
 
Uchumi mara nyingi hutazamiwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au dunia.
 
== Sekta za uchumi ==
Uchumi wa kijadi[[jadi]] katika nchi nyingi ulikuwa hasa [[kilimo]] cha kujikimu pamoja na [[biashara]] ya kubadilishana bidhaa kadhaa zenye [[thamani]] kubwa. Kwa mfano, tangu kale [[mgodi|migodi]] ya [[Zimbabwe]] ilichimba [[dhahabu]] iliyopelekwa baadaye hadi [[Asia]] na duniakando ya [[Mediteranea]].
 
Katika uchumi wa kisasa mara nyinganyingi sekta tatu hutofautishwa:
 
* Sekta ya msingi: kutoa na kuzaa [[malighafi]] pamoja na [[zao|mazao]] katika [[mazingira]] asilia. Mifano ni [[kilimo]], [[uchimbaji wa madini]], [[uvuvi]] au [[kuvuna ubao]].
 
* Sekta ya pili: shughuli za kubadilisha malighafi hizi kuwa bidhaa. [[Madini]] ya [[chuma]] hubadilishwa kuwa [[feleji]]; feleji hutumiwa na [[viwanda]] kutengeneza vyuma vya [[ujenzi]], [[magari]], vifaa vya [[Nyumba|nyumbani]]. Viwanda vya [[nguo]] hutumia [[pamba]] kutoka [[shamba|mashambani]] na kuibadilisha kuwa [[uzi]] halafu [[kitambaa]] na nguo.
 
* Sekta ya tatu: biashara au usambazaji wa bidhaa hizi kwa [[mteja|wateja]] pamoja na kuwatolea huduma. Mifano ni [[duka|maduka]] yanayouza bidhaa zilizotengenezwa viwandani. Mingine ni huduma kama [[benki]], [[hoteli]], [[sinema]] na [[usafiri]].
 
* [[Wataalamu]] wengine hutaja sekta ya nne: shughuli za kusambaza [[habari]] na pia [[utafiti]] wa [[teknolojia]] mpya unaoendelea kuwa muhimu katika [[nchi zinazoendelea]]. Wengine huingiza pia [[elimu]] (kazi za [[shule]] na [[vyuo]]) katika sekta hii ya uchumi.
 
== [[Sayansi ya Uchumi]] (economics) ==
Hii ni mkono wa elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Uchumi|!]]