Latvia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d →Siasa |
No edit summary |
||
Mstari 61:
Latvia ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[1 Mei]] [[2004]].
Miaka [[1922]] - [[1991]] nchi ilikuwa [[jamhuri]] mwanachama wa [[Umoja wa Kisovyeti]] na kabla ya hayo sehemu ya [[Dola la Urusi]].▼
Kwa muda mrefu Latvia ilikuwa sehemu ya [[Dola la Urusi]].
▲
▲== Siasa ==
Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Latvia ilijitangaza [[nchi huru]].
Latvia ilijiunga na [[Umoja wa Ulaya]] baada ya azimio la [[Halmashauri Kuu ya Ulaya]] ya tarehe [[13 Desemba]] [[2002]] iliyokutana [[Kopenhagen]].
Katika [[kura ya maoni]] ya tarehe [[20 Septemba]] [[2003]] ni 66.9[[%]] za Walatvia wote waliokubali azimio hilo.
Latvia iliingia rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe [[1 Mei]] [[2004]] pamoja na nchi nyingine 9 za [[Ulaya mashariki]].
==Dini==
Wakazi wengi ni [[Wakristo]] (78.5%) wa [[madhehebu]] mbalimbali, hasa [[Walutheri]] (34.2%), [[Wakatoliki]] (24.1%) na [[Waorthodoksi]] (17.8%). [[Asilimia]] 21.1 hawana dini yoyote.
== Viungo vya
* [http://www.riga.lt/riga Rīga Wiki]
|