Lituanya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Tengua pitio 972429 lililoandikwa na Riccardo Riccioni (Majadiliano) |
||
Mstari 76:
== Historia ==
Mwaka [[1795]] nchi hizo mbili zilifutwa, na
Mwaka [[1918]], ikawa tena nchi huru, lakini mwaka [[1940]] Warusi waliiteka tena.
Miaka [[1940]] - [[1990]] nchi ilikuwa [[jamhuri]] mwanachama wa [[Umoja wa Kisovyeti]].
Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Lituania ilijitangaza [[nchi huru]].
Lituania imekuwa nchi mwanachama ya [[Umoja wa Ulaya]] tangu tarehe [[1 Mei]] [[2004]].
==Wakazi==
Line 89 ⟶ 93:
Mbali na Walituania asili (84.1%), kuna [[Wapolandi]] (6.6%), [[Warusi]] (5.8%) na wengineo.
[[Dini]] ya wananchi ni [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] (77.2%), mbali ya [[Waorthodoksi]]
(4.8%) na [[Waprotestanti]] (0.8%). ==Viungo vya nje==
|