Kalasinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|en}} using AWB (10903)
Mstari 10:
Kalasinga ilianzishwa katika [[karne ya 15]] na [[Guru Nanak]] aliyezaliwa katika [[familia]] ya [[Uhindu|Kihindu]] wakati wa utawala wa [[Uislamu|Waislamu]] juu ya Uhindi ya kaskazini.
 
Nanak alijishughulihsaalijishughulisha na dini tangu utotoni na kwenye umri wa miaka 30 aliondoka katika familia akianza kipindi kirefu cha matembezi. Anasemekana alizunguka kote Uhindi akafika pia [[Makka]] ([[Uarabuni]]), [[Uajemi]] na [[Afghanistan]].
 
Hakukubali [[ibada]] nyingi za Uhindu, mafundisho na maandiko ya kidini, matabaka katika jamii. Alisikitika kuona jinsi dini ilivyogawa watu.