Jaribio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Jaribio''' ni taratibu zinzofuatwa ili kuthibitisha,kukanusha, au kuhalalisha [[kisiomakisio]].Majaribo yanatofautiana sana katika malengo na vipimo, lakini kwa kawaida hutegemea na kurudiwa kwa taratibu husika na uchambuzi yakinifu wa matokeo yaliyopatikana.
 
Mtoto anaweza kufanya majaribio ya msingi ili kuelewa uzito, lakini kundi la [[sayansi|wanasayansi]] wanaweza kuchukua miaka mingi kufanya uchunguzi kuongeya uelewa wao kuhusu jambo fulani.