Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Historia ya Nairobi: nyongeza kadhaa
Mstari 66:
 
== Historia ya Nairobi ==
Nairobi ilianzishwa na [[Waingereza]] mwaka [[1899]] kama kambi ya kujenga [[Reli ya Uganda]]. Mahali palikuwa karibu katikati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]], palikuwa na [[maji]] pakaonekana panafaa kwa kituo njiani. Mwanzo wa Nairobi ulikuwa kambi kubwa ya ma[[hema]] na [[ghala]] za vifaa vya kujenga [[reli]].
 
=== Chanzo kwenye kambi la reli===
Mwanzoni viongozi wengine walitaka kuacha eneo hili kwa sababu ya [[matope]] mengi. Lakini makao yaliendelea kukua, [[nyumba]] za [[jiwe|mawe]] zikajengwa.
Nairobi ilianzishwa na [[Waingereza]] mwaka [[1899]] kama kambi ya kujenga [[Reli ya Uganda]]. [[Njia ya reli]] ilikuwa imefika kutoka Mombasa ikaonekana ya kwamba kuanzia hapa kasi ya ujenzi itachelewa kutokana na ugumo na eneo la Bonde la Ufa na mitelemko yake mikali. Mahali palikuwa karibu katikati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]], palikuwa na [[maji]] pakaonekana panafaa kwa kituo njiani. MwanzoHasahasa wailionekana Nairobitabianchi ulikuwaya kambinyanda kubwaza yajuu ma[[hema]]ilifaa kiafya kwa Waingereza walioteswa na [[ghala]]joto zala vifaapwani vyana kujengakwenye [[reli]]nyanda za chini.
 
Kitangulizi cha Nairobi kilikuwa kituo kidogo kilichoanzishwa 1896 kando la mto Nairobi na wakala Mwingereza wa reli kwa kusudi la kuajiri wafanyakazi wazalendo kwa ujenzi wa reli. Mwaka uliofuata 1897 wakaguzi walioandaa njia ya reli walipiga kambi karibu naye. <ref>Christine Stephanie Nicholls, Red Strangers, uk. 37 f.</ref>.
Njia ya reli ilifika kwenye kambi tarehe [[30 Mei]] [[1899]]. Sasa idadi ya wafanyakazi -hasa Wahindi- iliongezeka sana na kambi lilikuwa kubwa ya ma[[hema]] na [[ghala]] za vifaa vya ujenzi. Mwezi wa Juni mizigo ya mabati ilifika kutoka Mombasa -tayari kwa reli- na majengo ya kudumu yalianza kutengenezwa katika mazingira ya eneo la [[Kituo cha Reli Nairobi|kituo cha reli cha leo]]. Mwezi wa Agosti kamishna Mwingereza wa jimbo la Ukamba<ref>Ukamba ilikuwa moja kati ya majimbo 4 ya [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (iliyokuwa koloni ya Kenya tangu 1920) na makao makuu yalikuwepo Machakos</ref> aliamuliwa kuhamisha makao makuu yake Nairobi kutoka [[Machakos]] akajenga boma lake kwenye eneo la Moi Avenue mbali na reli jinsi inavyoonekana hadi leo kwenye majengo ya polisi ya kihistoria yanayotazama [[Bustani ya Jivanji]]<ref>Kituo cha polisi (Nairobi Central Police Station) iko mahali pa boma lile la kwanza</ref>. Barabara kuu ya kwanza ilikuwa Station Road, ikaitwa baadaye Government road, leo hii ni Moi Avenue. Mtaa wa Tom Mboya wa leo ikaitwa Victoria Street ikawa mahali pa maduka na hoteli za kwanza zilizoendeshwa na Wazungu na baadaye pia na Wahindi kadhaa. Soko la Wahindi maskini likuwa kando. Kwenye sehemu kati ya mitaa ya Haile Selassie na harambee kulikuwa na makazi ya kwanza ya wafanyakazi. Mwaka uleule wa 1899 ofisi kuu ya reli ikapelekwa hapa kutoka Mombasa kwa shabaha ya kurahisisha mawasiliano.
 
Pale mwanzoni kulikuwa na wasiwasi kuhusu chagua la mahali; baada ya mvua kali sehemu ya hema na vibanda ilipatikana katikati ya ziwa la matope. Magonjwa yalisambaa na baada ya epidemia ya tauni soko la wahindi ilichomwa na kuhamishwa sehemu nyingine. Majaribio ya kukausha kinamasi yaliendelea kwa miaka kadhaa hadi kufaulu. Kutokana na usumbufu wa matope maafisa wa ngazi ya juu walijenga nyumba zao kwenye kilima cha karibu kilichojulikana kama Nairobi Hill.
 
Mwaka 1905 Waingereza walihamisha [[ofisi kuu]] ya [[serikali]] yao ya [[ukoloni|kikoloni]] kutoka Mombasa kwenda Nairobi, ambayo ikawa hivyo [[makao makuu]] ya [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (''British East Africa'', baadaye ''Kenya Colony'').