28 Novemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Novemba}}
 
Tarehe '''28 Novemba''' ni [[sikukuu]] ya [[Mtakatifu]] [[Yakobo wa Marka]], [[O.F.M.]], [[padri]]
 
== Matukio ==
* [[1821]] - Nchi ya [[Panama]] inapata [[uhuru]] kutoka [[Hispania]] ikawaikiwa sehemu ya nchi ya [[Kolombia]] chini ya [[Simon Bolivar]].
* [[1960]] - Nchi ya [[Mauritania]] inapata uhuru kutoka [[Ufaransa]].
 
== Waliozaliwa ==
* [[1924]] - [[Dennis Brutus]], [[mwandishi]] kutoka [[Afrika Kusini]]
* [[1948]] - [[Mgana Izumbe Msindai]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Tanzania]]
* [[1950]] - [[Russell Hulse]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1993]])
* [[1984]] - [[Trey Songz]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[741]] - Mtakatifu [[Papa Gregori III]]
* [[1476]] - Mtakatifu [[Yakobo wa Marka]], mtawaO.F.M., padri wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] kutoka [[Italia]]
* [[1694]] - [[Matsuo Bashō]], [[mshairi]] [[Japani|Mjapani]]
* [[1954]] - [[Enrico Fermi]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1938]]