30 Novemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Novemba}}
== Matukio ==
* [[1406]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Gregori XII]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1683]] - [[Mfalme]] [[George II wa Uingereza]]
* [[1813]] - [[Charles-Valentin Alkan]], [[mtunzi]] wa [[muziki]] kutoka [[Ufaransa]]
* [[1817]] - [[Theodor Mommsen]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1902]])
* [[1835]] - [[Mark Twain]], [[mwandishi]] kutoka [[Marekani]]
* [[1869]] - [[Nils Dalen]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1912]])
* [[1874]] - [[Winston Churchill]], ([[Waziri Mkuu]] wa [[Uingereza]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1953]])
* [[1889]] - [[Edgar Adrian]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1932]])
* [[1912]] - [[Gordon Parks]], [[msanii]] wa [[Marekani]]
* [[1915]] - [[Henry Taube]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1983]]
* [[1926]] - [[Andrew Schally]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1977]])
* [[1945]] - [[Telesphore Mkude]], [[askofu]] [[Mkatoliki]] nchini [[Tanzania]]
* [[1982]] - [[Elisha Cuthbert]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Kanada]]
* [[1987]] - [[Smosh]], yaani [[Ian Andrew Hecox]], [[mchekeshaji]] wa [[Mtandao|mtandaoni]] kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[1577]] - [[Cuthbert Mayne]] (padre Mkatoliki na shahidi Mtakatifu)
* [[1830]] - [[Papa Pius VIII]]