Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 81:
Mwaka 1905 Waingereza walihamisha [[ofisi kuu]] ya [[serikali]] yao ya [[ukoloni|kikoloni]] kutoka Mombasa kwenda Nairobi, ambayo ikawa hivyo [[makao makuu]] ya [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (''British East Africa'', baadaye ''Kenya Colony'').
 
Uchumi wa mji ulitegemea pale mwanzoni hasahasa mahitaji ya utawala wa serikali na reli na utalii; matajiri wengi kutoka pande zote za dunia walikuja hapa kwa kusudi la kuwinda wananyama wakubwa <ref>Kama maarufu "Big Five" yaani tembo, simba, nyati, kifaru na chui</ref> wakivutwa na uwingi wa wanyama kwenye nyadanyanda za juu na usafiri rahisi kwa reli. Baadaye ardhi katika mazingira ya mji ilipewa kwa walowezi wazungu na kilimo cha kibiashara kilianza kuchangia.
 
Kiasili Nairobi ilikuwa imepangwa kwa ajili ya Wazungu wa reli na serikali pamoja na Wahindi; Waafrika hawakupewa makazi isipokuwa mabweni ya wanfanyakazi wa reli na vibanda vya wafanyakazi wasaidizi kandokando ya nyumba za mabwana wao.