13 Desemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Desemba}}
== Matukio ==
* [[1294]] - [[Mtakatifu]] [[Papa Celestino V]] anajiuzulu ili arudi kuishi [[Mkaapweke|upwekeni]]. baada ya kuwa [[Papa]] miezi mitano tu
 
== Waliozaliwa ==
* [[1521]] - [[Papa Sixtus V]], [[O.F.M.]]
* [[1923]] - [[Philip Anderson]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1977]])
* [[1929]] - [[Christopher Plummer]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Kanada]]
* [[1963]] - [[Yono Stanley Jilaoneka Kevela]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
* [[1973]] - [[Holly Marie Combs]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
* [[1976]] - [[Rama Yade]], [[mwanasiasa]] wa [[Ufaransa]] kutoka [[Senegal]]
* [[1989]] - [[Taylor Swift]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
 
Mstari 15:
* [[1124]] - [[Papa Callixtus II]]
* [[1466]] - [[Donatello]], [[mchongaji]] wa [[sanamu]] kutoka [[Italia]]
* [[1930]] - [[Fritz Pregl]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1923]])
* [[1935]] - [[Victor Grignard]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1912]])
* [[1955]] - [[Antonio Egas Moniz]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1949]]
* [[1998]] - [[Norbert Zongo]], [[mhariri]] wa [[gazeti]] nchini [[Burkina Faso]], aliuawa
* [[2010]] - [[Remmy Ongala]], mwanamuziki kutoka [[Tanzania]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/december/13 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/December_13 Today in Canadian History]
 
{{DEFAULTSORT:Desemba 13}}
[[Jamii:Desemba]]