Hidrografia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumb|Mfano wa ramani inayoonyesha kimo cha maji '''Hidrografia''' (ing.''hydrography'') ni tawi la jiografia linaloh...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Isobates-simple example.svg|thumb|Mfano wa ramani inayoonyesha
'''Hidrografia''' (ing.''hydrography'') ni tawi la [[jiografia]] linalohusika upimaji wa [[magimba ya maji]] duniani kama vile [[bahari]], [[maziwa]] na [[mito]] na tabia zao <ref>[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/278837/hydrography Britannica Online Encyclopedia]</ref>. Neno hidrografia latokana na maneno ya Kigiriki ὕδωρ (hidor), "maji" na γράφω (grafō), "andika".
Mstari 6:
Kusudi muhimu ya kukusanya elimu hii ni usalama wa usafiri wa baharini na shughuli nyingine zinazohusika bahari na magimba ya maji mengine ya kimataifa kama matumizi ya kiuchumi, kijeshi, usalama, utafiti wa kisayansi na hifadhi ya mazingira. <ref>[http://www.iho.int/srv1/index.php?option=com_content&view=article&id=299&Itemid=289&lang=en Maelezo ya Shirika la Kimataifa la Hidrografia]</ref>
Shirika na taasisi mbalimbali za hidrografia zinakusanya data na kutoa ramani zimazoonyesha
Habari hii zilikusanywa tangu kale na kuoneshwa kwenye ramani zenye ilani kuhusu maeneo ambako
Tangu kuongezeka kwa usafiri kwa maji pamoja na vyombo vya usafiri wakati wa karne ya 19 habari hizi zimesanifishwa zaidi na zaidi na kutolewa kwa umma kwa njia ya
Kuna taasisi nyingi za kitaifa zinazoshirikiana katika [[Shirika la Kimataifa la Hidrografia]].
|