Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
Mnamo mwaka 2015 jina la vwawa liliingia katika vichwa vikuu vya habari nchini tanzania baada ya kuhusishwa na harakati za kuufanya kuwa makao makuu ya mkoa mpya wa songwe kabla ya kupitishwa kwake rasmi mnamo mwaka 2016.
Vwawa ni mji ambao ni makao makuu ya wilaya ya mbozi lakini pia makao makuu ya mkoa mpya wa songwe. Mji huu upo nyanda za juu kusini ukiwa umepitiwa na barabara kuu iendayo zambia kupitia mikoa ya mbeya,njombe,iringa,morogorogo,pwani kutokea jijini dar es salaam. vwawa pia imepitiwa na reli ya tazara kutokea jijini dar es salaam hadi kapiri mposhi nchini zambia. Wenyeji wa mwanzo wa mji huu ni makabila ya wanyiha,wandali,wanyamwanga na baadhi ya wanyakyusa wapatikanao katika maeneo ya masoko na ndolezi wilayani mbozi.Vwawa ni mji wenye mitaa yake ambayo ni old vwawa,ilolo,isangu,vwawa day,ichenjezya,ilembo,frolida,mbimba itemba, na mtambwe. Mji huu umezungukwa na huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo za kiserikali na watu binafsi kama vile shule,hospitali,nyumba za serikali,benki na huduma nyingine kama vile vituo vya mafuta,masoko,maji ya kutosha na umeme.Mji huu ni mji wenye ardhi nzuri ambayo si ya hali ya ukame ambayo inaruhusu uwepo wa vyakula vya aina nyingi kwa vipindi vyote yaani kiangazi na masika. Mlima ng'amba na milima mingine ionekanayo kwa umbali ni moja ya vitu vioneshayo vwawa kwa uzuri wa kipekee. Kazi nzuri ifanywayo na jeshi la polisi pamoja na ukarimu pia ushirikiano wa watu wa vwawa ni moja ya vitu viifanyayo vwawa kuwa mji wenye utulivu muda wote. kwa miaka mingi vwawa imeonekana kutoa wasomi wengi sana ambao wamekua chachu ya maendeleo ya taifa hili katika nyanja mbalimbali. Uwepo wa makampuni binafsi kama vile Ilasi,unyiha,ADP na mengine mengi ambayo hayajatajwa yamesaidia sana sekta za elimu,uchumi,habari na masuala ya kilimo. Pia vwawa inatoa fursa ya uwekezaji kwa wageni na wenyeji katika masuala mbalimbali.Wenyeji wa mji huu wa vwawa wanawakaribisha sana wageni wa mikoa na wilaya nyingine ili kuwezesha mzunguko wa kibiashara na kijamii.
KWA SAUTI KUU WANA VWAWA TUNASEMA KARIBUNI VWAWA KWA FURSA ZA KISIASA,BIASHARA,MAKAZI NA MENGINE MENGI.........
VWAWA NI SAFI TUNZA MAZINGIRA YAKUTUNZE....
imeandikwa na Baraka white (obama).. na sekela mbughi..
unakaribishwa kwa uhariri zaidi
|