Michoro ya Kondoa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d typo |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Picha:Kondoa.jpg|thumb|Mchoro mwambani.]]
'''Michoro ya Kondoa''' ni kundi la [[michoro
Mapango au nusumapango haya zaidi ya 150 yanapatikana mfululizo kwenye vilima vinavyotazama mtelemko wa [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Mfululizo huo una urefu wa kilometa 9 na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.
|