18 Desemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Desemba}}
== Matukio ==
* [[1352]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Innocent VI]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1856]] - [[Joseph John Thomson]], [[mwanafizikia]] kutoka [[Uingereza]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1906]]
* [[1878]] - [[Josef Stalin]], kiongozi[[dikteta]] wa [[Umoja wa Kisovyeti]] ([[1924]]-[[1953]])
* [[1913]] - [[Willy Brandt]], [[Chansela]] wa [[Ujerumani]] ([[1969]]-[[1974]])
* [[1939]] - [[Harold Varmus]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1989]])
* [[1946]] - [[Steve Biko]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Afrika Kusini]]
* [[1946]] - [[Steven Spielberg]], [[mwongozaji wa filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1962]] - [[James Sie]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1968]] - [[Casper Van Dien]], mwigizaji filamu kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[2015]] - [[Placidus Gervasius Nkalanga]], [[O.S.B.]], [[askofu]] [[Mkatoliki]] nchini [[Tanzania]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Desemba 18}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/december/18 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/december_18 Today in Canadian History]
 
{{DEFAULTSORT:Desemba 18}}
[[Jamii:Desemba]]