25 Desemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 146 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2745 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Desemba}}
Kwa [[Wakristo]] walio wengi 25 Desemba ni [[sikukuu]] ya [[Krismasi]] (au Noeli) inayoadhimisha kuzaliwa kwake [[Yesu Kristo]].
 
== Matukio ==
* [[1046]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Klementi II]]
* [[1066]] - [[William Mshindi]] wa [[Normandy]] anapokea [[cheo]] cha [[mfalme]] wa [[Uingereza.]]
* [[1559]] - Uchaguzi wa [[Papa Pius IV]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1876]] - [[Adolf Windaus]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1928]])
* [[1899]] - [[Humphrey Bogart]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1904]] - [[Gerhard Herzberg]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1971]]
* [[1906]] - [[Ernst Ruska]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1986]])
* [[1931]] - [[Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki]], aliyekuwa [[askofu mkuu]] wa [[NairobiKanisa Katoliki]] wa[[Jiji|jijini]] [[kanisaNairobi]] katoliki([[Kenya]])
 
== Waliofariki ==
* [[795]] - [[Papa Adrian I]]
* [[1926]] - [[Yoshihito]], [[Mfalme Mkuu]] wa [[Japani]]
* [[1961]] - [[Otto Loewi]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1936]])
* [[1977]] - [[Charlie Chaplin]], mwigizaji filamu kutoka [[Uingereza]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Desemba 25}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/december/25 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/december_25 Today in Canadian History]
 
{{DEFAULTSORT:Desemba 25}}
[[Jamii:Desemba]]